Mwanzo 32:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Yakobo aliendelea na safari yake. Basi, malaika wa Mungu wakakutana naye.

2. Yakobo alipowaona, akasema, “Hili ni jeshi la Mungu!” Kwa hiyo akapaita mahali hapo Mahanaimu.

Mwanzo 32