Mwanzo 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha akamwambia huyo mwanamume,“Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo,ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile;kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa.Kwa jasho utajipatia humo riziki yako,siku zote za maisha yako.

Mwanzo 3

Mwanzo 3:15-21