Mwanzo 27:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Jamii za watu zikutumikie,na mataifa yakuinamie kwa heshima.Uwe mtawala wa ndugu zako,watoto wa kiume wa mama yako wakuinamie kwa heshima.Kila akulaaniye na alaaniwe,kila akubarikiye na abarikiwe!”

Mwanzo 27

Mwanzo 27:27-39