Mwanzo 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Ndipo huyo mwanamume akasema,“Naam! Huyu ni mfupa kutoka mifupa yangu,na nyama kutoka nyama yangu.Huyu ataitwa ‘Mwanamke’,kwa sababu ametolewa katika mwanamume.”

Mwanzo 2

Mwanzo 2:20-25