Mwanzo 12:3 Biblia Habari Njema (BHN)

Anayekubariki, nitambariki;anayekulaani, nitamlaani.Kwako wewe, nitayabariki mataifa yote ya dunia.”

Mwanzo 12

Mwanzo 12:1-7