Mika 7:6 Biblia Habari Njema (BHN)

Maana, mtoto wa kiume anamdharau baba yake;mtoto wa kike anashindana na mama yake,mke wa mwana anapingana na mama mkwe wake.Maadui wa mtu ni watu wa nyumbani mwake.

Mika 7

Mika 7:1-15