Mika 7:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Hakuna mcha Mungu aliyebaki nchini,hakuna mtu yeyote mnyofu miongoni mwa watu.Kila mmoja anavizia kumwaga damu;kila mmoja anamwinda mwenzake amnase.

Mika 7

Mika 7:1-10