Mika 7:12 Biblia Habari Njema (BHN)

Siku hiyo ndugu zenu watawarudia,kutoka Ashuru na vijiji vya Misri,kutoka nchi ya Misri na eneo la Eufrate;kutoka sehemu za maji na sehemu za milima.

Mika 7

Mika 7:11-19