Mika 6:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Sikilizeni kesi ya Mwenyezi-Mungu enyi milima,sikilizeni enyi misingi ya kudumu ya dunia!Mwenyezi-Mungu anayo kesi dhidi ya watu wake.Yeye atatoa mashtaka dhidi ya Waisraeli.

Mika 6

Mika 6:1-11