Mika 5:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Wazawa wa Yakobo watakaobaki haiwameenea miongoni mwa mataifa mengi,watakuwa kama umande wa Mwenyezi-Mungu uburudishao,kama manyunyu yaangukayo penye nyasiambayo hayasababishwi na mtuwala kumtegemea binadamu.

Mika 5

Mika 5:1-8