Mika 4:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mataifa mengine hufuata njia zao,kwa kuitegemea miungu yao,lakini sisi twafuata njia zetu kwa kumtegemea Mwenyezi-Mungu,Mungu wetu, milele na milele.

Mika 4

Mika 4:4-12