Mika 1:4 Biblia Habari Njema (BHN)

Milima itayeyuka chini ya nyayo zake,kama nta karibu na moto;mabonde yatapasuka,kama maji yaporomokayo kwenye mteremko.

Mika 1

Mika 1:1-12