Mika 1:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Enyi watu wa Yuda, nyoeni uparakuwaombolezea watoto wenu wapenzi;panueni upara wenu uwe mpana kama wa tai,maana watoto wenu watawaacha kwenda uhamishoni.

Mika 1

Mika 1:13-16