Hapo akamfuata huyo mwanamke moja kwa moja,kama ng'ombe aendaye machinjioni,kama paa arukiaye mtegoni.