Methali 5:1-4 Biblia Habari Njema (BHN)

1. Mwanangu, sikia hekima yangu,tega sikio usikilize elimu yangu.

2. Ndipo utakapoweza kuhifadhi busara,na midomo yako izingatie maarifa.

3. Mdomo wa mwanamke mpotovu ni mtamu kama asali,maneno yake ni laini kuliko mafuta;

4. lakini hatimaye ni mchungu kama pakanga,ni mkali kama upanga wenye makali kuwili.

Methali 5