Methali 30:9 Biblia Habari Njema (BHN)

nisije nikashiba nikakukana;nikasema, “Mwenyezi-Mungu ni nani?”Au nisije nikawa maskini nikaiba,na kulikufuru jina lako ee Mungu wangu.

Methali 30

Methali 30:3-19