Methali 30:14 Biblia Habari Njema (BHN)

Kuna watu ambao meno yao ni kama upanga,na magego yao ni kama visu.Wako tayari kuwatafuna maskini wa nchi,na wanyonge walio miongoni mwa watu!

Methali 30

Methali 30:8-23