Methali 28:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Anayemshawishi mtu mwema kutenda mabaya,ataanguka katika shimo lake mwenyewe.Wasio na hatia wamewekewa mema yao.

Methali 28

Methali 28:3-13