Usisahau rafiki zako wala wa baba yako.Ukipatwa na janga usikimbilie kwa nduguyo;afadhali jirani aliye karibu kuliko ndugu aliye mbali.