Methali 20:14 Biblia Habari Njema (BHN)

“Hakifai, hakifai”, mnunuzi hulalamika,lakini akiondoka hujisifu amepunguziwa bei.

Methali 20

Methali 20:6-21