Methali 10:1 Biblia Habari Njema (BHN)

Hizi ni methali za Solomoni:Mtoto mwenye hekima ni furaha ya baba yake;lakini mtoto mpumbavu ni huzuni ya mama yake.

Methali 10

Methali 10:1-10