Mathayo 26:31 Biblia Habari Njema (BHN)

Kisha Yesu akawaambia, “Usiku huu wa leo, nyinyi nyote mtakuwa na mashaka nami, maana Maandiko Matakatifu yasema:‘Nitampiga mchungaji,na kondoo wa kundi watatawanyika.’

Mathayo 26

Mathayo 26:28-34