Mathayo 24:47-49 Biblia Habari Njema (BHN)

47. Kweli nawaambieni, atamweka mtumishi huyo aisimamie mali yake yote.

48. Lakini kama mtumishi mbaya akijisemea moyoni: ‘Bwana wangu amekawia kurudi,’

49. kisha akaanza kuwapiga watumishi wenzake, akaanza kula na kunywa pamoja na walevi,

Mathayo 24