Mathayo 21:42 Biblia Habari Njema (BHN)

Hapo Yesu akawaambia, “Je, hamkusoma jambo hili katika Maandiko Matakatifu?‘Jiwe walilokataa waashisasa limekuwa jiwe kuu la msingi.Bwana ndiye aliyefanya jambo hili,nalo ni la ajabu sana kwetu!’

Mathayo 21

Mathayo 21:41-45