Mathayo 21:23 Biblia Habari Njema (BHN)

Yesu aliingia hekaluni, akawa anafundisha. Alipokuwa akifundisha, makuhani wakuu na wazee wa watu wakamwuliza, “Unafanya mambo haya kwa mamlaka gani? Nani amekupa mamlaka haya?”

Mathayo 21

Mathayo 21:17-26