4. Nao wakasema, “Mose aliagiza mume kumpatia mkewe hati ya talaka na kumwacha.”
5. Yesu akawaambia, “Mose aliwaandikia amri hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu.
6. Lakini tangu kuumbwa ulimwengu, Mungu aliumba mwanamume na mwanamke.
7. Hivyo mwanamume atawaacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake,