Maombolezo 4:7 Biblia Habari Njema (BHN)

Vijana wa Siyoni walikuwa safi kuliko theluji,walikuwa weupe kuliko maziwa.Miili yao ilikuwa myekundu kama matumbawe,uzuri wa viwiliwili vyao kama johari ya rangi ya samawati.

Maombolezo 4

Maombolezo 4:1-16