Maombolezo 2:22 Biblia Habari Njema (BHN)

Umewaalika kama kwenye sikukuumaadui zangu walionitisha kila upande.Katika siku ya hasira yako ee Mwenyezi-Mungu,hakuna aliyetoroka au kunusurika.Wale niliowazaa na kuwaleaadui zangu wamewaangamiza.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:12-22