Maombolezo 2:19 Biblia Habari Njema (BHN)

Usiku kucha uamkeamke ukalie.Mfungulie Mwenyezi-Mungu yaliyo moyoni mwako.Mwinulie mikono yako kuwaombea watoto wako,watoto wanaozirai kwa njaa popote barabarani.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:12-22