Maombolezo 2:17 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu amefanya yale aliyokusudia,ametekeleza yale aliyotishia;kama alivyopanga tangu kaleameangamiza bila huruma yoyote;amewafanya maadui wafurahie adhabu yako,amewakuza mashujaa wa maadui zako.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:10-22