Maombolezo 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)

Wazee wa Siyoni wameketi chini kimya,wamejitia mavumbi vichwanina kuvaa mavazi ya gunia.Wasichana wa Yerusalemu wameinamisha vichwa.

Maombolezo 2

Maombolezo 2:2-17