Maombolezo 1:20 Biblia Habari Njema (BHN)

“Ona, ee Mwenyezi-Mungu nilivyo taabuni.Roho yangu imechafuka,moyo wangu unasononekakwani nimekuasi vibaya.Huko nje kumejaa mauaji,ndani nako ni kama kifo tu.

Maombolezo 1

Maombolezo 1:10-22