Maombolezo 1:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Enyi wapita njia, hivi hamjali kitu?Tazameni! Hakuna aliyepatwa na uchungu kama mimi,uchungu alioniletea Mwenyezi-Mungu,siku ya hasira yake kali.

Maombolezo 1

Maombolezo 1:7-16