9. Kwa hiyo, ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni mlango nanyi mtafunguliwa.
10. Maana yeyote aombaye hupewa, atafutaye hupata na abishaye mlango hufunguliwa.
11. Mtoto akimwomba baba yake samaki, je, atampa nyoka badala ya samaki?
12. Na kama akimwomba yai, je, atampa nge?