Kutoka 34:11 Biblia Habari Njema (BHN)

“Shikeni amri ninazowapa leo. Nitawafukuza mbele yenu Waamori, Wakanaani, Wahiti, Waperizi, Wahivi na Wayebusi.

Kutoka 34

Kutoka 34:1-14