Kutoka 30:34 Biblia Habari Njema (BHN)

Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Utachukua vipimo vinavyolingana vya viungo vitamu vifuatavyo: Utomvu wa natafi, utomvu wa shekelethi, utomvu wa kelbena na ubani safi.

Kutoka 30

Kutoka 30:26-38