Kutoka 25:29 Biblia Habari Njema (BHN)

Utatengeneza sahani na vikombe vya kuwekea ubani mezani, na pia bilauri na bakuli za kumiminia tambiko za kinywaji. Vifanye vyombo hivyo vyote kwa dhahabu safi.

Kutoka 25

Kutoka 25:27-36