Kutoka 15:21 Biblia Habari Njema (BHN)

Miriamu akawaongoza kwa kuimba,“Mwimbieni Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari,farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.”

Kutoka 15

Kutoka 15:17-27