Kutoka 10:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Nchi yote ya Misri itakuwa giza kwa sababu ya nzige hao. Watakula kila kitu kilichosalimika baada ya ile mvua ya mawe; pia hawataacha chochote juu ya miti inayoota mashambani.

Kutoka 10

Kutoka 10:1-7