Kumbukumbu La Sheria 9:28 Biblia Habari Njema (BHN)

Watu wa kule ulikotutoa wasije wakasema, Mwenyezi-Mungu aliwatoa ili awaue jangwani kwa sababu hakuweza kuwaingiza katika nchi aliyowaahidi na kwa sababu aliwachukia.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:18-29