Kumbukumbu La Sheria 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)

“Basi, niligeuka, nikashuka kutoka mlimani, nikiwa nimebeba vile vibao viwili vya mawe, nao moto ulikuwa unawaka mlimani.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:14-21