Kumbukumbu La Sheria 9:12 Biblia Habari Njema (BHN)

“Basi, Mwenyezi-Mungu aliniambia, ‘Ondoka, ushuke chini ya mlima upesi, kwa kuwa watu wako uliowatoa Misri wamepotoka. Wameiacha upesi njia niliyowaamuru wafuate na wamejifanyia sanamu ya kusubu’.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:4-14