Kumbukumbu La Sheria 9:1 Biblia Habari Njema (BHN)

“Sikilizeni enyi Waisraeli! Hivi leo mmekaribia kuvuka mto Yordani, kwenda kumiliki nchi ya mataifa makubwa na yenye nguvu kuliko nyinyi. Miji yao ni mikubwa na ina kuta zifikazo mawinguni.

Kumbukumbu La Sheria 9

Kumbukumbu La Sheria 9:1-8