Kumbukumbu La Sheria 8:9 Biblia Habari Njema (BHN)

Huko mtapata chakula tele na hamtapungukiwa kitu. Miamba yake ina chuma, na kwenye milima yake mnaweza kuchimba shaba.

Kumbukumbu La Sheria 8

Kumbukumbu La Sheria 8:1-15