Kumbukumbu La Sheria 8:16 Biblia Habari Njema (BHN)

Tena ndiye aliyewalisheni mana jangwani, chakula ambacho babu zenu hawakupata kukijua. Alifanya hayo yote ili awanyenyekeshe na kuwajaribu, ili kuwapima apate kuwajalia mema mwishowe.

Kumbukumbu La Sheria 8

Kumbukumbu La Sheria 8:10-20