Kumbukumbu La Sheria 7:8 Biblia Habari Njema (BHN)

Lakini ni kwa sababu Mwenyezi-Mungu anawapenda na anashika kiapo alichowaapia babu zenu, ndiyo maana aliwaokoeni kwa mkono wake wenye nguvu na kuwaokoa toka utumwani, toka mikono ya Farao mfalme wa Misri.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:1-14