Kumbukumbu La Sheria 7:26 Biblia Habari Njema (BHN)

Msipeleke nyumbani kwenu kitu chochote cha kuchukiza, la sivyo mtalaaniwa kama hicho kitu. Ni lazima mkichukie na kukidharau kabisa kwa kuwa ni kitu kilicholaaniwa.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:24-26