Kumbukumbu La Sheria 7:24 Biblia Habari Njema (BHN)

Atawatia wafalme wao mikononi mwenu. Mtawaua, nao watasahaulika. Hakuna mtu yeyote atakayeweza kuwazuia, mpaka mtakapowaangamiza.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:21-26