Kumbukumbu La Sheria 7:2 Biblia Habari Njema (BHN)

Pia, baada ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kuyatia mikononi mwenu, mkawashinda watu hao na kuwaangamiza kabisa, msifanye agano lolote nao wala msiwahurumie.

Kumbukumbu La Sheria 7

Kumbukumbu La Sheria 7:1-6