Kumbukumbu La Sheria 6:5 Biblia Habari Njema (BHN)

Mpendeni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, kwa moyo wenu wote, kwa roho yenu yote na kwa nguvu zenu zote.

Kumbukumbu La Sheria 6

Kumbukumbu La Sheria 6:1-13